Mzee Kigo na mifugo yake
Baraka Naliva Hamisi
Baraka Naliva Hamisi

Hapo zamani za kale, palikuwa na mzee mmoja aliyeitwa Kigo.

Alikuwa na mifugo kama mbuzi, ng'ombe, na sungura.

1

Siku moja, simba aliingia katika kijiji hicho.

Aliingia katika kibanda cha Mzee Kigo na kukuta mifugo ya mzee huyo.

2

Simba akawala ng'ombe na mbuzi, lakini sungura hakuwaona kwenye kibanda chao.

Kisha Simba aliondoka na kwenda zake.

3

Mzee Kigo alipofika, alikuta damu ya ng'ombe na mbuzi.

4
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
Mzee Kigo na mifugo yake
Author - Baraka Naliva Hamisi
Illustration - Baraka Naliva Hamisi
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs