

Waaa. Asenteni sana wenzangu, na ninamkarisha Leo kwa nakala yangu inayonihusu Mimi na maisha yangu.
Mwanzo nilizaliwa tarehe Tano mwezi kwanza mwaka wa elfu mbili na mbili. Katika Kijiji Cha Akanyo Kaunti ndogo ya Butula, County ya Busia,
Nilipozaliwa wenzangu ilikua kama mshangao kwa wengi,lakini najua kwa Mungu si mshangao.
Mama yangu alieniza alishitikia tu ka Yuko mja mzito Hadi baba yangu akamtorosha kwa ndoa.
Mama yangu alisumbuka lakini kwa uezo wa mwenzezi Mungu.
Baba yangu alikuja ujombani akamchukua tena mama yangu. Walipofika kwa nyumba baba akamwambia mama ya kuwa ameota kwanza ndo akumkujia.(mke wangu naomba msamaha kwa yote nimekutendea,lakini najua ni makusudi ya Mungu.. nimeonyeshwa kwa...
Huyu mtoto wetu Harrison si wa kawaida. Ni kama ameletwa na mwijiza ya Mungu, nimemuona kama Ako kwa kanisa anaombea watu.
Nilipomsongea kumchukua juu alikua Mtoto bado... Sauti ikanizungumzia ikisema...ACHANA NA MTUMISHI WANGU NILIEMJAGUA
Nilishituka sana sana, sauti tena ikanena...HUYU NI MPAKWA MAFUTA WA BWANA, USIWE NA HOFU YOYOTE KWA MAANA MIMI MUNGU WAKE AMBAYE NI BABA YAKE WA KIROHO NIKO PAMOJA NAYE NA ATAKAE MWAMINI KWA SAUTI YAKE ATAPATA KUPONA NA KUBARIKIWA....
Sauti ilipomalizika kanisa ilijaa kiza gafla bini vuu... Na mwangaza ukapenyeza kwa kanisa kupitia kwa mabati ikielekea pale huyu mtoto wetu alikua...Mwangazi ulipomfikia sauti ikanena tena ikasema...TIINI SAUTI YA MUNGU MWOKOLEWE KWA JAMBI
Watu wote wakamwinamia na akasema.. MMEOKOLEA ,HANA DHAMBI, MTOKOMBOLEWA, NA MATABARIKIWA...
Nilipofika umri wa mwaka ishini na nne... Siku moja nilijikuta kwa wakikuyu uko Nyandarwa Kaunti... Nilipokua nikisoma politekniki ya Kinangop ilipo hapo Ndonyu njeru.. Aki ni ya machozii lakini itabidi nisemee..
Nilipatana na marafiki wale wabayaa, wengine walikua kwa NGUVU za gizaa, wengine walikua wafuta bangi, wengine walikua kwa vikosi vya wauajii na wizi... Rafiki wangu wa Karibu kwao walikua kwa nguvu za gizaa na Mimi si kuwa nimetambua....
Urafiki ukanoga mbaya mbofu, walikua wanamletea vyakula tunakula PAMOJA,kulala tunalala kwa kitanda kimoja, kweli adui wako ni rafiki wako wa Karibu.. kwa kutokujua chochote nilikua nakula chakula Cha majini na masetani... Kumbee usikuu ee.
Waaa rafiki wangu alikua anajigeuza anakua Pepo na kwa shule yote yeye ndo alikua mkubwaa... Na wanafunzi wote walikua wameingizwa kwa uliminati... Walijaribu kuniingiza uko lakini damu yangu haikua ya ukoo.. wakaamua kunimaliza kimaisha...
Nilianza kupata tabu mingi sana usiku. Wakanitesa kwa njia mingi sana. Viboko wakaniwekelea sana chakula nikanyimwa, malazi ikachomwa, nguo zikaibiwa, Hadi tuko na siku walikua wameleta wauajii wakuniua lakini Mungu akanificha.. waaa aki..
Iyo siku si kulala kwa nyumba, lakini nililala kwa msituu Karibu na mto.. walinitafuta lakini wapi... Sasa waliamua kuniuza kwa uliminati wap ili niuwawee.. ikashindikana.. Tulipofunga shule Sasa... Badala ya Mimi kurudi nyumbani nilijikuta
Nilijikuta Kaa naenda kwa kina rafiki wangu Yani ile madawa zilikua Zimenitawala... Tulipofika uko wakanipiga picha nikilala ili wanipeleke kwa mganga wachukue nyota yangu na huduma ya Mungu ndani mwangu... Wakalipa pesa mingi ukoo..
Baba yangu akaanza kunitafuta penye Niko Hadi Simi nilikua nimeizima ndo wasinisumbue... Mama yangu akalia machozii, ndugu zangu wakasononeka sana.. wakaingia kwa maombi ya kufunga ili Mungu anionekanie tena... Niliishi uko siku SITA...
Ilipofika siku ya Tano jioni... Nilianguka chini kwa kutojua sauti ikasema.. MWANA WANGU NIKO NA WEWE LAKINI APO UNAPOISHI SI PAZURI... wakanionyesha manyoka,chura,vyungu vya waganga na vyote vikapasuka na majoka, vyura Zika chomwa....
Nilipopata nafuu.. nikakumbuka Simi yangu.. nilipofungua nikapata habari inasema Rudi nyumbani uko wapi.... Nikaambia hao watu eti wananitaka nyumbani wakaanza kuficha vitu zangu Hadi manguo lakini nikaambia Kaa mbaya mbaya.. bila pesa
Nikaanza safari ya kuishia... Kwa njia kidogo nigongwe na gari lakini Mungu akawa nami.. nilipofika nyit baada ya siku Tano nikaanza kugojekaa Sasa.. mapepo ikanisumbua, sikua nakula Wala kunywa lakini nilikulishwa na kunyweshwa kwa mda wa
Mwezi mitatu... Na kuombewa kila uchao juu kila saa nilikua Kaa mwendazimu... Si kupiga kelele, si kuongeaa pekee yangu,si kuchekaa,si kujigwaraa... Lakini namuombea mema ndugu yangu Geofry Ochieng kwa kuwa na Mimi Karibu sana, asente...
Alinionea huruma hadi nilipoponaa...
KUPONA mwangu ni huu... Nilienda kanisani nikaombewa nikawekwa wakifu, ili nikubalike pachoni pa Mungu,nisamehewe DHAMBI niliofanya yote kama kunywa chang'a, busa, kuvuta bangi, ujeuri wa kupigana...
Nilipompokea Yesu na kumkubali kuwa bwana wa uokovu wangu.. nikakiri na kuapa nitamfanyia kazi Mungu... Nikapelekwa kwa maji mengi ili nipate kubatizwa kwa damu ya Yesu ili dhambi zangu ziondolewee... Apo ndipo ndoto ya baba yangu....
Ilikuja kujulikana kuwa ilikua ya ukweli... Kwa sababu nilianza kunena kwa ndimi za roho Mtakatifu na kuomba sana... Kwa kanisa nikaanza kuomba na kuombea wagonjwa, wenye shida na waliotekwa nyara na mapepo.. nikaanza kujivunia kipawa hicho
Kwa sai Mimi ni MTUMISHI wa Bwana na Niko taari kuwaokoa wanaosumbukana.... Unaponiitaji nitafute kwa hii namba
0757817612 kina HARRISON OUMA WANZOFU... Kama unataka kutoa sadakaa yako kwa mapenzi ya Mungu tuma kwa M-pesa namba 0757817612..
Usinione mdogo lakini ona ukubwa ninao katika KIROHO... Nampenda Mungu kwanza ndo vingine vifwatee... KARIBU NYOTEE TUSAIDIANE KIMAOMBI

