JUA LA AJABU
Brian Mugambi
Salim Kasamba

Happy zamani za kale,paliishi jua na mwezi wakiwa marafiki na Kila mtu alikua na siku zake za kutawala. Jua alikua akitawala mchana na mwezi usiku. Walikaa hiyvo mbila shida yoyote kwa muda mrefu.

1

Siku moja jua alianza kunywa maji mengi masaa yake ya kutawala Hadi wanyama was majini wakaanza kulalamika. Mwezi kwa upande wake alikua anatawala vizuri sana hadi wanyama kaamua kumuuliza usaidizi.

2

Mwezi alijaribu kuongea na jua lakini hakusikia, alipoona wanyama wa majini wanateseka sana karibu wafe, mwezi aliamua kumfunikia jua pole pole hadi maji yakaanza kuongezeka.

3

Mwezi aliamua kuwa anakuja mapema hata kabla masaa yake ya kuingia hayajafika ili kumfunikia jua mapema. Maji yaliaza kurundi kuwa mengi na wanyama wakaanza kufurahia sana na kumpenda mwezi kuliko jua.

4

Maji yalizindi na hata kufunika manyumba za binadamu na wanyama wa nchi kavu wakaanza kulalamika. Wote walikubalina kua na mazungumzo kati ya jua na mvua ili kutatua shida hili na wakasikiza wote jua na mwezi ni wa muhimu kwa maisha ya

5

binadamu na wanyama. Kila mmoja alikua na wakati wake wa kutawala kama hapo mbeleni.Maisha yao yalirundi kuwa mazuri tena.

6
You are free to download, copy, translate or adapt this story and use the illustrations as long as you attribute in the following way:
JUA LA AJABU
Author - Brian Mugambi
Illustration - Salim Kasamba
Language - Kiswahili
Level - First paragraphs